» »Unlabelled » Waasi wasema watu 100, wauawa DRC, wakati wa maandamano

Waasi wasema watu 100, wauawa DRC, wakati wa maandamano


Rais Joseph Kabila wa DRCImage copyrightGETTY IMAGES
Image captionRais Joseph Kabila wa DRC
Waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wamesema kiasi cha watu mia moja wameuawa katika maandamano ya kuipinga serikali, katika kipindi cha siku tatu zilizopita.
Vyanzo vingine vya habari vinasema watu waliouawa ni 40.
Ofisi ya Rais wa nchi hiyo Joseph Kabila imepinga taarifa hizo, huku ikiwalaaumu viongozi wa maandamano hayo kwa kuchochea ghasia hizo za umwagaji damu.
Upinzani nchini humo wamevilaumu vyombo vya usalama kwa kuwashambulia kwa risasi watu waliokuwa wakiandamana kwa amani juu ya kuahirishwa kwa uchaguzi wa Rais nchini humo.
Wanaamini kuwa Rais Kabila anajaribu kung'ang'ania madaraka hata baada ya kumalizika kwa muhula wake.

ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU WATARIFU NA WENZAKO PIA TUPIA MAONI YAKO

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles