» »Unlabelled » Waasi waonyesha wasiwasi kusitishwa mapigano nchini Syria

Waasi waonyesha wasiwasi kusitishwa mapigano nchini Syria


Marekani na Urusi zinaongoza kuhamasisha kusitishwa kwa vita
Image captionMarekani na Urusi zinaongoza kuhamasisha kusitishwa kwa vita
Makundi ya waasi nchini Syria yameonesha kutoridhishwa na kusitishwa kwa mapigano kunakosimamiwa na Urusi na Marekani ambapo kusitishwa huko kunatarijiwa kuanza Jumatatu jioni.
Makundi hayo yanatakiwa kusema kama watajiunga kwenye makubaliano hayo ama la.
Kuna madai kuwa moja ya kundi la waasi la Ahrar al-Sham watakataa kusitisha mapigano hayo.
Miundombinu na majengo vimeharibiwa vibaya
Image captionMiundombinu na majengo vimeharibiwa vibaya
Kiongozi wa kikundi kingine cha waasi mjini Alepo amesema kuwa wanakubali kuondoa uhasama na kuruhusu misaada lakini ana wasiwasi na makubaliano.
Mashambuzli ya ndege za Syria na Urusi yameendelea siku ya jumapili katika mji wa Alepo na Idlib.
Zaidi ya watu 100 wameuawa katika mashambulizi yaliotekelezwa siku ya jumamosi.

ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU WATARIFU NA WENZAKO KARIBU TENA

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles