» »Unlabelled » Rais wa zamani Brazil na mkewe wafunguliwa mashitaka ya rushwa

Rais wa zamani Brazil na mkewe wafunguliwa mashitaka ya rushwa


Lula na mkewe
Image captionLula na mkewe
Rais wa zamani wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva,amefunguliwa mashtaka ya rushwa na wizi wa fedha, yeye pamoja na mke wake.
Mwendesha mashtaka wa seriakali Deltan Dallagnol amesema kuwa Lula alikua kinara wa rushwa na kashfa ya kampuni ya kickback inayomilikiwa na serikali, Petrobras ambayo ilikua na nia ya kuwaacha wafanyakazi wake serikalini.
Lula anashukiwa pia kukubali nyumba ya kifahari katika ufukwe wa Guaruja kutoka kwa kampuni ya ujenzi iliyopewa mkataba kipindi yeye yupo madarakani.
Wanasheria wa Rais huyo wa zamani wanasema kuwa hakuna ushahidi wowote wa madai hayo.
Upelelezi pia umehusisha nyumba za kifahari za kupangisha katika mwambao wa Guaruja
Image captionUpelelezi pia umehusisha nyumba za kifahari za kupangisha katika mwambao wa Guaruja
chini ya sheria ya Brazil hakimu ataamua kukubali au kukataa kupokea mashtaka hayo ndani ya siku zijazo.
ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU WATARIFU NA WENZAKO KARIBU TENA

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles