» »Unlabelled » Mapigano yazuka kumiliki visima vya mafuta nchini Libya

Mapigano yazuka kumiliki visima vya mafuta nchini Libya


Badhi ya visima vya mafuta Libya
Image captionBadhi ya visima vya mafuta Libya
Mapigano mapya yameanza kuhusu mzozo wa umiliki wa baadhi ya visima vikubwa vya mafuta katika maeneo ya Mashariki nchini Libya.
Afisa mmoja wa usalama amekanusha kuwa vikosi vinavyomtii jenerali Khalifa Haftar vinadhibiti miji ya Sirda, Ras Lanuf na Zuitina.
Generali Haftar amekataa kutambua serikali ya umoja inayotambulika kimataifa huko Tripoli na kubaki upande wa watawala mahasimu wa Mashariki.

ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU WATARIFU NA WENZAKO KARIBU TENA

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles