» »Unlabelled » Mapigano yaanza upya Syria, baada ya mkataba kumalizika

Mapigano yaanza upya Syria, baada ya mkataba kumalizika


Magari ya misaada nchini SyriaImage copyrightGETTY IMAGES
Image captionMagari ya misaada nchini Syria
Ndege za kivita nchini Syria zimeanza kushambulia mji wa Aleppo muda mfupi tu, baada ya jeshi kutangaza kumalizika kwa wiki ya kusimamisha mapigano.
Wanaharakati wanasema kuna watu waliouawa na kujeruhiwa katika mashambulio hayo ya anga katika eneo linaloshikiliwa na waasi, la Aleppo na vijiji vya jirani.
Aidha wamesema kuwa malori ya misaada yaliyokuwa karibu na mji huo pia yameshambuliwa.
Majeshi ya Syria na yale ya waasi yamekuwa yakilaumiana kukiuka hatua hiyo ya kusimamisha mapigano.
Marekani imesema inafanyia kazi suala la kuongeza muda wa kusimamisha mapigano.
ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU WATARIFU NA WENZAKO PIA TUPIA MAONI YAKO

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles