Miongoni mwa ngoma zinazo subiliwa kwa hamu na wana Mwanza na Tanzania kwa ujumla na hi ni moja wapo Album hii imepangwa kuzinduliwa Kilimanjaro Hotel iliyopo Nyegezi BUS STAND MWANZA , hivyo wewe kama mwana Mziki, msanii kwa aina zote na wadau wote wa MZIKI Mnakaribishwa ku toa support kwa kijana wenu FIX MOR
HII hapa chini ni kava ambayo ukiiona dukani punde tu zitakapo zinduliwa usiipite Nunua
Fix mor na video queen
kwa mawasiriano ili kujua swala zima la uzinduzi
piga namba 0754971996/0716591525
facebook.com/fix mor
instagram:fixmor
Nimsanii mpya kabisa katika Game amekuja kwa nguvu kubwa naimani wewe msanii na mashabiki mtakubali nacho kisema maana kama ulisha wahi kuangalia wengi wanao anza utagundua kuwa huyu jamaa ana kipaji sana
Hajapata support bado hana management.
MSANII ANA ITWA: FIX MOR
ALBUM: NAENDA IRAQ
HUU WIMBO UNAITWA : UNANITOSHA
Karibu utuunge MKONO
KAMA WEWE NI MSANII UNGEPENDA NGOMA YAKO TUIWEKE KWA BLOG TUPIGIE 0769436440
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI





No comments:
Post a Comment