» »Unlabelled » MASWALI MATANO YAKUJIULIZA AMBAYO YANAWEZA KUBADIRISHA MAISHA YAKO

*MASWALI MATANO (5) YAKUJIULZA AMBAYO YANAWEZA KUBADIRISHA MAISHA YAKO*

1. Mimi ni nani?
2. Nimetokea wapi?
3. Naelekea wapi?
4. Nimefika wapi?
5. Natakiwa nifanye nini?
Safari ya maisha kuelekea Mafanikioama chochote kile unachokiitaji, huanzia katika kujitambua.

*MAMBO MATATU MUHIMU KUKUFANIKISHA MAISHANI*

1. Maarifa (Knowledge) 
Je unafahamu nini? Kwa kiasi gani? Hicho unachofahamu kinakufaidishaje wewe na wanaokuzunguka?
2. Maamuzi sahihi (Right decisions) 
Kuwa makini sana na maamuzi unayoyafanya maana yanaweza kuijenga au kuibomoa leo na kesho yako.
3. Nafsi isiyo na ubinafsi (Unselfish mind) 
Ukiwafungulia wengine milango na yako itafunguliwa, ukiwafungia na yako itafungwa kabisa. Wajali watu

*TABIA 8 ZINAZOUA NDOTO NA MAFANIKIO YA WATU WENGI.*

1. Kuahirisha.

2. Uvivu.

3. Kukata tamaa mapema.

4. Visingizio.

5. Mawazo hasi.

6. Matumizi mabaya ya pesa.

7. Kuridhika.

8. Ulevi kwenye mitandao ya kijamii.

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...