» »Unlabelled » Hong Kong kupiga marufuku biashara ya pembe za ndovu

Serikali ya Hong Kong inasema itapiga marufuku kabisa biashara ya pembe za ndovu ndani ya miaka mitano inayokuja. Maafisa wamesema kuwa hawana mipango ya kuwafidia wafanyibiashara wa pembe za ndovu. Kwa sasa aina fulani ya pembe ni halali kuuzwa lakini makundi ya kutunza wanyama yanaamini kuwa hii inachangia kunoga kwa biashara ya pembe za ndovu. Shirika linalohusika na wanyamapori duniani linasema linaamini kuwa marufuku hiyo itatekelezwa ndani ya miaka miwili.

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles