» » Watu 8 wafariki baada ya kimbunga kugonga Afrika Kusini

Alex De Kock alipiga picha hii akitazama kimbunga hicho kutoka kilima cha Signal Hill mjini Cape Town

Haki miliki ya pichaIMAGE COPYRIGHT
Image captionAlex De Kock alipiga picha hii akitazama kimbunga hicho kutoka kilima cha Signal Hill mjini Cape Town
Watu 8 wamefariki baada ya kimbunga kikali kugonga mji wa Cape Town, Afrika Kusini; upepo mkali ambao vyombo vya Habari vya Afrika Kusini, vimeutaja kama "mama wa vimbunga vyote".
Taasisi zote za elimu zikiwemo vyuo vikuu vimefungwa, huku paa za nyumba na zikifumuliwa na upepo huo mkali.
Manusura wametafutiwa makao mapya mahala salama.
Kimbunga hicho kinagonga baada ya kumalizika kwa ukame mkali wa karne kulikumba taifa hilo.



Tuma picha/ habari what-sap 0769436440



BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS



tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles