» » Trump kutangaza msimamo wake kuhusu makubaliano ya Paris

Paris

Image captionMakubaliano ya Paris juu ya kukabiliana na hewa chafu
Vyombo vya habari vya marekani vinasema rais Trump anatarajia kutangaza kujitoa kwenye makubaliano ya mabadiliko ya tabia nchi yaliyowekwa mjini Paris,Ufaransa.
Rais Trump mwenyewe aliandika katika ukurasa wake wa Twitter kuwa anatoa tangazo hilo hivi karibuni.
Paris
Image captionMakubaliano ya mabadiliko ya tabia nchi,Paris
Kujitoa katika harakati hizo za mabadiliko ya tabia nchi ni miongoni mwa vipaumbele ambavyo alivitaja wakati wa kampeni zake za urais ingawa hivi karibuni rais huyo alikaririwa kusema kuwa bado hajafanya maamuzi.
Mkutano wa nchi zenye uchumi mkubwa G7 uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita ,uliolenga kupunguza shughuli zinazongeza uzalishaji wa hewa chafu ili kupuguza athari za mabadiliko ya tabia nchi kama ilivyokubaliana na nchi takribani mia mbili jambo ambalo rais Trump alikuwa hajaliridhia.

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440

BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS

tupe maoni yako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...