» » Serikali ya Venezuela yaongeza ulinzi katika jimbo la upinzani

Kwa miezi miwili polisi wamekuwa wakiwazuia waandamanaji wanaofanya fujo nchi nzima

Image captionKwa miezi miwili polisi wamekuwa wakiwazuia waandamanaji wanaofanya fujo nchi nzima
Wizara ya mambo ya ndani nchini Venezuela imeongeza ulizni zaidi katika jimbo la Miranda,ambalo linaongozwa na kiongozi wa upinzani nchini humo Henrique Capriles.
Serikali inasema kumekuwa na vitendo vya ukiukwaji wa haki za binaadam katika eneo hilo.
Capriles anasema kuwa kitendo cha wizara kuongeza polisi katika jimbo lake ni masuala ya siasa zaidi ya ulinzi.
Miranda amabayo ni sehemu ya mji mkuu Caracas ni miongoni mwa sehemu zenye maandamano makubwa dhidi ya Rais Nicolas Maduro.
Zaidi ya watu 60 wameuawa katika maandamano hayo yaliyoanza miezi miwili iliyopita.


Tuma picha/ habari what-sap 0769436440

BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS

tupe maoni yako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...