» » Iran yakana watu waliokamatwa na Saudia ni wanajeshi wake

Rais wa Iran Hassan Rouhani: Iran imekana watu waliokamatwa na Saudia ni wanajeshi wake

Image captionRais wa Iran Hassan Rouhani: Iran imekana watu waliokamatwa na Saudia ni wanajeshi wake
Iran inasema kuwa watu watatu waliokamatwa na wanamaji wa Saudia siku ya Ijumaa ni wavuvi na wala sio wanajeshi wake.
Mkuu wa maswala ya mipakani katika wizara ya maswala ya ndani nchini humo Majid Aghababaie alisema kuwa utambulisho wa unajulikana na kwamba na kwamba hakuna ushahidi kwamba walikuwa wanajeshi.
Saudia iliwakamata wakati boti yao ilipokuwa ikiwasili karibu na ufukwe mmoja wa bahari ulio na mafuta na kusema kuwa ni wanachama wa jeshi la Iran.
Kitengo cha habari cha Saudia kilitangaza kuwa shambulio la kigaidi katika eneo hilo la mafuta limetibuliwa.



Tuma picha/ habari what-sap 0769436440


BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS


tupe maoni yako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...