» » Al Shabab wavamia Kambi ya jeshi la Kenya Kolbiyow


Hii si mara ya kwanza al shabab wanavamia kambi za jeshi la KenyaHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionHii si mara ya kwanza al shabab wanavamia kambi za jeshi la Kenya
Ripoti kutoka kusini mwa somali zinazema kambi ya wanajeshi wa Kenya imevamiwa viungani mwa mji wa Kulbiyow nchini Somalia.
Milipuko kadhaa iliripotiwa kusikika kutoka eneo hilo.
Inaarifiwa kuwa vikosi vya Kenya vimejibu vikali uvamizi huo.
Mapema mwaka huu, maafisa kadhaa wa Kenya waliuwawa na wanamgambo wa Al shabaab waliovamia kambi yao.
Somalia
Image captionSomalia


Tuma picha/ habari what-sap 0769436440






BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS






tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles