» » Watoto wanaokabiliwa na utapia mlo waongezeka Somalia

Watoto wanaokabiliwa na uapia mlo nchini Somalia

Haki miliki ya pichaUNICEF
Image captionWatoto wanaokabiliwa na uapia mlo nchini Somalia
Shirika la Umoja wa Mataifa linalosimamia watoto Unicef limesema kuwa makadirio ya watoto wanaougua utapia mlo nchini Somalia mwaka huu yamepanda kwa asilimia 50.
Linasema kwamba takriban watoto milioni 1.4 wamewekwa katika katika orodha hiyo.
Unicef inasema kuwa watoto wanaokabiliwa na utapia mlo wanaweza kufariki mara tisa zaidi kutokana na magonjwa mabaya kama vile kipindupindu, kuharisha na ukambi ambayo yanaenea.
Somalia inakabiliwa na athari za baadaye za ukame.
Umoja wa Mataifa unasema kuwa dunia inakabiliwa na mgogoro wa kibinaadmu tangu mwisho wa vita vya dunia vya pili.
Ukame tayari umetangazwa katika maeneo kadha ya Sudan Kusini.
Pia kumekuwa na onyo la kutokea kwa ukame kaskazini mashariki mwa Nigeria Somalia na Yemen.
UN inasema kuwa takriban watu milioni 20 wanakabiliwa na baa la njaa.

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440



BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS




tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles