» » Usafiri wa ndege warejea kawaida Uingereza

Abiria nje wa unanja wa Gatwick

Haki miliki ya pichaREUTERS
Image captionAbiria nje wa unanja wa Gatwick
Huduma za usafiri katika viwanja vya ndege vya uingereza vya Gatwick naHeathrow zimerejea kama kawaida baada ya hitilafu za mitambo kulemaza huduma hizo hapo jana na kuathiri maelfu ya abiria kote ulimwenguni.
Hitilafu hiyo ambayo haikutarajiwa imesababisha hasara kubwa kutokana na gharama kubwa ya fidia kwa wasafiri, na matatizo ya kimikakati ya ndege, mizigo na watu..
Kampuni ya usafiri wa ndege ya British Airways imewataka watu kudhibitisha iwapo wamepewa nafasi ya kiti ndani ya ndege kabla ya kuelekea uwanja wa ndege.
British Airways inasema kuwa hakuna ushahidi unaoonyesha kuwa hitilafu hiyo ilisababioshwa na udukuzi.
Abiria waliachwa wamekwama nje wa uwanja wa HeathrowHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionAbiria waliachwa wamekwama nje wa uwanja wa Heathrow
Mkurugenzi mkuu Alex Cruz alisema inaaminika kuwa sababu kuu ya tatizo hilo ni suala la umeme.
Mashirika mengine yanayotoa huduma kupitia viwanja hivyo viwili hayakuathirika.
Tatizo liliathiri maeneo ya kuingia abiria, huduma za wateja na simu.


Tuma picha/ habari what-sap 0769436440


BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS


tupe maoni yako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...