» » Raia wa Austria akamatwa Poland Kwa uhalifu wa kivita

Alikuwa miongoni mwa waliotafutwa kwa uhalifu wa kivita nchini Ukraine


Image captionAlikuwa miongoni mwa waliotafutwa kwa uhalifu wa kivita nchini Ukraine

Raia mmoja wa Austria amekamatwa nchini Poland kwa tuhuma za kufanya uhalifu wa kivita Mashariki mwa Ukraine wakati akiwa anapigana kwa ajili ya serikali ya Ukraine.
Waendesha mashtaka nchini Austria wanasema kuwa kijana huyo wa miaka 25 anatuhumiwa kwa kuwaua waasi ambao walipaswa kujisalimisha katika uwanja wa ndege wa Donetsk pamoja na wananchi wasiokuwa na hatia.
Alikamatwa Mashariki mwa nchi ya Poland katika mpaka wa Dorohusk akijaribu kuingia nchini Ukraine.

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440

BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS


tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles