» » Jaji aliyetoa matamshi ya kibaguzi ajiuzulu Afrika Kusini

Mabel Jansen alifanyiwa pia uchunguzi na jopo la majaji

Image captionMabel Jansen alifanyiwa pia uchunguzi na jopo la majaji
Jaji mweupe nchini Afrika Kusini amejiuzulu baada ya kutoa matamshi mwaka jana katika mitandao ya kijamii kuwa matukio ya ubakaji ni utamaduni wa watu weusi.
Jaji huyo wa mahama kuu Mabel Jansen alikuwa katika mapumziko akisubiri upelelezi wa mahakama kufanyika juu ya sakata hilo.
Matamshi hayo yalifichuliwa na rafiki yake ambaye hakutajwa jina.
Afrika Kusini ni miongoni mwa nchi zenye asilimia kubwa ya matukio ya ubakaji duniani.


Tuma picha/ habari what-sap 0769436440

BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS

tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles