» » Facebook: Mwanzilishi wake aitembelea kwa ghafla familia moja Ohio

Mwanzilishi wa Facebook aitembelea kwa ghafla familia moja Ohio

Haki miliki ya pichaMARK ZUCKERBERG/TWITTER
Image captionMwanzilishi wa Facebook aitembelea kwa ghafla familia moja Ohio
Familia moja nchini Marekani imeeleza ilivyohisi wakati ilipata taarifa kwamba mwanzilishi wa mtandao wa kijamii wa Facebook Mark Zuckerberg angewatembelea kwa chakula cha jioni.
Familia hiyo ya Moore , eneo la Newton Falls, inasema walijua utambulisho wa mgeni wao dakika 20 kabla ya kuwasili ijumaa.
Bwana Zuckerberg anazuru majimbo yote 50 ya Marekani na amewataka wafanyikazi wake kutafuta wanachama wa Democrat waliompigia kura rais Donald Trump.
Anakisiwa kuwa na mpango wa kuwania urais wa Marekani.
Familia hiyo inasema bwana Zuckerberg alikuwa mtu mtulivu sana.

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440

BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS

tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles