» » Hizi ni salamu zisizokuwa za kawaida nchini Cameroon

Pierre Ismael Bidoung Mpkatt akimsalimia Paul Biya

Haki miliki ya pichaTWITTER / @PAOLAAUDREY
Image captionPierre Ismael Bidoung Mpkatt akimsalimia Paul Biya
Tangu waziri wa michezo nchini Cameroon Pierre Ismael Bidoung Mpkatt ainame wakati akimsalimia rais wa nchi hiyo Paul Biya, picha hizo zilisambaa mitandaoni.
Watu nchini Cameroon wamekuwa wakiiga picha hizo na hata kuifanyia mabadiliko.
Salamu zisizokuwa za kawada CameroonHaki miliki ya pichaTWITTER / @AFRIK2_RADIO
Image captionSalamu zisizokuwa za kawada Cameroon
Mfano mwingine ulibuniwa.
Salamu zisizokuwa za kawada CameroonHaki miliki ya pichaTWITTER / @CHEYSSONY
Image captionSalamu zisizokuwa za kawada Cameroon
Huyu naye alishuka hata chini Zaidi.
Salamu zisizokuwa za kawada CameroonHaki miliki ya pichaTWITTER / @WALDRIGUE
Image captionSalamu zisizokuwa za kawada Cameroon
Huyu jamaa naye aliamua kushuka.
Salamu zisizokuwa za kawada CameroonHaki miliki ya pichaTWITTER / @ZEBSTATOU
Image captionSalamu zisizokuwa za kawada Cameroon
Wanyama pia walishiriki.
Salamu zisizokuwa za kawada CameroonHaki miliki ya pichaTWITTER / @ZEBSTATOU
Image captionSalamu zisizokuwa za kawada Cameroon
Je umeiona hii?
Salamu zisizokuwa za kawada CameroonHaki miliki ya pichaTWITTER / @ENN_CEE_KAY
Image captionSalamu zisizokuwa za kawada Cameroon
Na hata mbuzi huyu alishirikishwa ambaye picha yake iliwekaa mtandao wa Facebook.
Salamu zisizokuwa za kawada CameroonHaki miliki ya pichaFACEBOOK / CULTUREBENE
Image captionSalamu zisizokuwa za kawada Cameroon

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440

BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS

tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles