USHINDI HATIMAYE- UPENDO WA BABA
MHUBIRI: Mchungaji David Mbaga
MHUBIRI: Mchungaji David Mbaga
MAHALI: Kanisa la Waadventista Wasabato Mabatini Mwanza
Mafungu:1 Samwel 16:1-7;2 Samwel18:1-8
Mafungu:1 Samwel 16:1-7;2 Samwel18:1-8
“Basi, iweni na huruma, kama Baba yenu alivyo na huruma.”(Luka 6:36)
Yesu Kristo aliichukua adhabu niliyo stahili ili kwa kumwamini yeye, nipate kusamehewa. Wewe ni wa thamani sana kwa Mungu anakupenda, alimtoa Kristo akafa msalabani ili kulipa deni la dhambi zetu zote tulizofanya na kumwasi Mungu.Thamani yako ni damu ya Mwana wa Mungu isiyo na ila wala dhambi,kamwe usilipe kisasi.Thamani yako haipimwi kwa wingi wa mali ulizo nazo bali kwa damu ya Yesu.

Mfalme Sauli, mtiwa mafuta wa Mungu, alijua kwamba mwanaye alikuwa rafiki ya Daudi, lakini hakujua sababu za urafiki huo. Sauli alimkasirikia sana Yonathani na kumwaibisha. Hata hivyo, Yonathani hakulipiza kisasi. Alidumisha uaminifu wake kwa Mungu na kwa Daudi
Kilio cha Mungu kwetu ni kutuona tukifia dhambini.Tukiwa waaminifu kwa Mungu, tutashuhudia jinsi anavyowatendea mambo mengi mazuri wale wote wanaompenda. Kuenenda sawa na Mungu ni jinsi utakavyo itikia kwa kile ambacho Mungu ametenda kwa niaba yako. Alituma mkombozi, alitoa dhabihu ya ondoleo la dhambi yako (Yohana 1:29).“Naitakuwa kila atakaye liita jina la Bwana ataokolewa” (Matendo 2:21)
Tuma picha/ habari what-sap 0769436440
BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sn.news&hl=en
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment