Sera ya familia kuwa na watoto 2 yaleta mabadiliko China
Image captionMpango wa familia kuwa na watoto wawili China
Uchina inasema uamuzi wake wa kuruhusu familia kuwa na watoto wawili badala ya mmoja tu, umeleta mabadiliko thabiti.
Afisa wa upangaji uzazi , amesema watoto milioni 18 zaidi walizaliwa mwaka jana ikiwa ni milioni mbili zaidi kushinda miaka iliyopita.
Marekani yatuliza China juu ya TaiwanWatoto milioni 18.6 walizaliwa China mwaka 2016'Ukinunua iPhone 7 umejifuta kazi!'
Lakini mabadiliko hayo ya sera hiyo , hayatazuwia wananchi wa Uchina kwa jumla, kuwa wazee swala ambalo litasababisha wazee zaidi na raia wachache walipa kodi kuweza kuwasaidia hao wazee.
Pia watoto zaidi waliozaliwa siyo wengi kama wakuu walivyotaraji walipobadilisha sera hiyo mwaka wa 2015
Mshirikishe mwenzako
No comments:
Post a Comment