» » Kupunguza kiwango cha chumvi huzuia mtu kuenda chooni usiku

Kupunguza kiwango cha chumvi huzuia mtu kuenda chooni usiku


Kupunguza kiwango cha chumvi huzuia mtu kuenda chooni usikuHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionKupunguza kiwango cha chumvi huzuia mtu kuenda chooni usiku
Watu ambao huamka usiku kwa minajili ya kuenda chooni, wanahitaji kupunguza kiwango cha chumvi katika chakula chao, kwa mujibu wa madaktari nchini Japan.
Tatizo hilo linalofahamika kama nocturia, ambapo mara nyingi huwaathiri watu walio na zaidi ya miaka 60, husababisho matatizo ya kupata usingizi na linaweza kuathiri maisha ya mtu.
Uchunguzi huo uliofanyiwa zaidi ya watu 300 wa kujitolea, uligundua kuwa kupunguza kiwango cha chumvi kwenye chakula, humwezesha mtu kupunguza safari za kuenda haja ndogo.
Watafiti kutoka chuo cha Nagasaki , waliwasilisha matokeo yao kwenye warsha moja ya sayansi mjini London.
Kupunguza kiwango cha chumvi huzuia mtu kuenda chooni usikuHaki miliki ya pichaSCIENCE PHOTO LIBRARY
Image captionKupunguza kiwango cha chumvi huzuia mtu kuenda chooni usiku
Walichunguza wagonjwa waliokuwa wakitumia kiwango kikubwa cha chumvi pamoja na matatizo ya kulala kwa miezi mitatu baada ya kuwapa ushauri wa kupunguza kiwangi hicho kwenyeychakula chao.
Safari za kuenda chooni zilipungua kwa zaidi ya mara mbili kila siku hadi safari moja.
Hiyo pia ilishuhudiwa mchana na maisha ya watu hao pia yakaimarika.
Kupunguza kiwango cha chumvi huzuia mtu kuenda chooni usikuHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionKupunguza kiwango cha chumvi huzuia mtu kuenda chooni usiku
Hitaji la kuamka usiku kwa haja ndogo huwaathiri zaidi ya nusu ya wanaume na wanawake walio na zaidi ya miaka 50.
Hali hiyo ni kawaida kwa watu wazee ambao wengi wao huamka takrban mara mbili kwa usiku.
Mtu anapofanya safari nyindgi chooni usiku, hupata matatizo ya kulala, hali ambayo husababisha pia msongo na uchovu.
Tuma picha/ habari what-sap 0769436440






BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sn.news&hl=en





tupe maoni yako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...