» » Kenya yawapiga Al Shabaab

Kenya yawapiga Al Shabaab


Kenya
Image captionRais wa Kenya Uhuru Kenyatta na naibu rais William Ruto
Jeshi la Kenya limesema kuwa wameua wapiganaji 57 wa kundi la kigaidi la Al Shabaab katika mapambano huko kusini mwa Somalia mapema wiki hii. (Jumatano)
Waziri wa ulinzi wa Kenya amesema kuwa Vikosi chini ya majeshi ya umoja wa Africa (amisom) vilitumia mashmbulizi ya anga dhidi ya waasi hao karibu na mji wa Afmadow, takribani kilometa 100 kaskazini magharibi mwa Kismayo.
Lakini Al-Shabaab walikana juu ya taarifa hiyo ya kuuawa kwa wapiganaji wake.
Tuma maoni, picha/ habari what-sap 0769436440
Andika 4SN NEWS Play store kupakuwa App  

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles