Donald Trump kuzungumza na rais wa Kenya Uhuru Kenyatta
Rais Donald Trump atazungumza na rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kwa njia ya simu .
Mazungumzo yao yatakuwa ya kwanza tangu rais huyo wa Marekani apate ushinda katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwishoni mwa jana.
- Trump ayabana mashirika ya utoaji mimba
- "Ndugu wa kambo wa Trump" azua kicheko mitandaoni
- Kenya na Libya zatajwa katika mdahalo Marekani
- Nduguye Obama kuwa mgeni wa Trump
Uhuru Kenyatta atakuwa rais wa nne wa Afrika kuzungumza na rais huyo kutoka taifa lenye uwezo mkubwa duniani.
Kati ya maraisa wa Afrika aliozungumza nao kwa njia ya simu ni rais wa Misri Abdel Fatah al Sisi, rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma na rais wa Nigeria Muhammadu Buhari .
Miongoni mwa maswala wanayotarajiwa kugusia ni swala la usalama ,Somalia na ukame unaendelea kukumba eneo zima la Afrika mashariki.
Tuma picha/ habari what-sap 0769436440
BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sn.news&hl=en
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment