» » Dadake Fidel Castro afariki dunia

Dadake Fidel Castro afariki dunia


Fidel Castro alifariki dunia mwaka janaHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionFidel Castro alifariki dunia mwaka jana
Dadake mdogo wa aliyekuwa kiongozi wa Cuba, Fidel Castro, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 78.
Agustina Castro Ruz hakushiriki katika siasa chini ya ndugu zake wawili, Fidel na Raul ambaye alimrithi Fidel kama rais wa taifa hilo.
Aliolewa na mpigaji kinanda Silvio Rodriguez, aliyelalamika kuhusu uhusiano mgumu na familia ya mkewe.
Rodriguez alihamia Marekani miaka ya 1990.
Fidel Castro alifariki dunia mwaka jana.
Dadake mkubwa wa Fidel, Angela Castro alifariki dunia mwaka 2012 akiwa na umri wa miaka 88.

Mada zinazohusiana

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440






BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sn.news&hl=en





tupe maoni yako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...