» » FAHAMU HISTORIA FUPI YA IMBA KWA AKILI

4SN NEWS TUMEBAHA TIKA KUFANYA MAWASIRIANO NA MWANZILISHI 
NA MSIMAMIZI WA KIKUNDI KIKUBWA SANA TIMU YA INJILI KWA NJIA YA UIMBAJI KIITWACHO IMBA KWA AKILI 

HUU NI BAADHI YA WIMBO AMBAO BADO HAUJAKAMILIKA UNAWEZA KUUITA VIONJO AU KIONJO CHA KAZI YA SASA KAA MKAO WA KUBARIKIWA PUNDE TU WAKIMALIZA NITAWATAARIFU NA KUWAPA VIZURI KUTOKA KWAO

HISTORIA FUPI

Imba kwa akili ni mkusanyiko wa waimbaji wa vikundi vya uimbaji Tz,  walioamua kukaa pamoja na kuifanya kazi ya Mungu, organizer wa hii kitu ni Martin Ngussa,
Vikundi vinavyounda njozi hii kubwa ya kupeleka injili kwa njia ya nyimbo kwa watu wengi ni
Acacia singers
Healing voice
Waberoya singers
Safari ya matumaini
Mashujaa wa yesu
Family singers
Family music Tz
Milele family
Heaven travelers generation
Tramph generation
Laos family
The harversters
The new voice of Tanzania
Glory land singers
The smirner singers

MIPANGO MIKAKATI

‪Tuna njoz ya kupeleka injili kwa njia ya nyimbo kufikia watu wengi kwa ushirikiano wetu pamoja
Kwa sasa tumeanza na wimbo mmoja ambao ukikamilika tutaupeleka kwenye vyombo vya habari vyote vya hapa tz ili tuwabariki watu wengi
Tumefanikiwa pia kutengeneza umoja na ushirikiano kati ya waimbaji na kikundi kimoja na kingine
Tumefanikiwa kuwaweka waimbaji pamoja na kufanya kazi pamoja licha ya changamoto za utofauti wao kiuimbaji na kiutendaji

MAANDALIZI YA HIVI KALIBUNI

Tunatarajia kuwa na tamasha kubwa la uimbaji litakalo jumuisha waimbaji na vikundi vingi vya hapa nchini tz, lengo ni kujifunza na kubadilishana uzoefu kati ya waimbaji na bdae kufanya uinjilist kwa njia ya nyimbo kwa kurekodi albam ya pamoja ya video itakayosambazwa bure kabisa kwa watu wengi wasiomjua Mungu leo ni kuwahubiri kwa njia ya nyimbo

+255 715 953 023: Mawasiriano organizer Ndugu: Martin Ngussa,
+255 715 953 023: 0715953023

Asante kwa kutembelea Blog yetu washirikishe na wenzako, Pia tunaomba maoni yako hapa WHATSAP (+255) 0769436440 Karibu Sana Read More

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...