Tovuti mbalimbali zimeripoti kunasa mazungumzo ya group la whatsapp la wachezaji wa FC Barcelona baada ya Coutinho kuongeza mkataba wa Liverpool ambapo inaonekana kama FC Barcelona waliwahi kuhusishwa na kumuhitaji Coutinho. HII NI KWA MUJIBU WA 90min.com



TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:
Post a Comment