» » Trump na Putin wawasiliana kwa simu IS ikiwa ajenda kuu

Trump na Putin wawasiliana kwa simu IS ikiwa ajenda kuu


Trump akiongea Putin kwa njia ya simuHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionTrump akiongea Putin kwa njia ya simu
Rais wa Marekani Donald Trump amempigia simu mwenzake wa Urusi Rais Vladimir Putin kwa mara ya kwanza tangu achukue hatamu za uongozi wa Marekani.
Maafisa wa Marekani wameelezea mazungumzo baina ya wawili hao kuwa hatua muhimu sana katika kuboresha uhusiano baina ya mataifa hayo mawili , uhusiano ambao ulikuwa umezorota sana.
Kwa mujibu wa utawala wa Urusi mazungumzo hayo ya saa nzima yalitoa kipa umbele ya vipi kukabiliana na kuzorota kwa usalama kutokana na mashambulizi ya kigaidi.
Hata hivyo swala la kuondolewa vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Urusi halijagusiwa.
Urusi iliwekewa vikwazo vya kiuchumi na Marekani ikishirikiana na mataifa ya umoja wa ulaya pale ilipoivamia na kulimegua jimbo la Crimea kutoka Ukrain, huku wakiendelea kuwaaunga mkono waasi wa mashariki mwa Ukrain wanaopigana na serikali ya Ukrain.
Uhusiano kati ya Trump na Putin ulizua utata wakati wa kampeniHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionUhusiano kati ya Trump na Putin ulizua utata wakati wa kampeni
Asante kwa kutembelea Blog yetu washirikishe na wenzako, Pia tunaomba maoni yako hapa WHATSAP (+255) 0769436440 Karibu Sana Read More

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...