» » NAMNA YA KUMUAMSHA MUME AWAHI KAZINI

-Chukua mkono wa mumeo uueke kwenye sehemu ya mwili wako anayoipenda kama kifua, kalio au sehemu ya siri alafu ufanye kama anakupapasa vile na huku unamwambia, kwa mfano, "My love unajua ukiendelea kulala utakosa utamu wa waridi uliolipia mahari? Amka mume wangu" hapo alale nani?
--Mkande mabega, miguu, mikono mpaka aamke. Akishaamka anaweza kukwambia uendelee kumkanda. Mpe busu umwambie unampenda lakini anafaa kuanza kujitayarisha.
-Mpandie kwa juu ukiwa uchi. Uwe unamsumbua sumbua kwa kumbusu au kumnong'oneza maneno matamu sikioni.
- Busu pia linafaa. Mpige mabusu kuanzia utosini hadi miguuni ukilenga zile sehemu zenye hisia zaidi. Utaona kaamka na bwana Abdallah nae kasimama wima
-Unaweza kuchagua sehemu moja, kwa mfano shingo, ukampiga busu mpaka umtoe lovebite. Lazima ataamka kabla hujamaliza kumbusu
- Kama mumeo ni mwepesi wa kuamka unaweza tu kumuita kwa sauti ya chini. Kwa mfano "Habibi wangu sipendi kukusumbua lakini amka muda wa kwenda kazini umefika. Amka mume wangu natamani kuona unavyoniangalia"

Sio unamwambia "We babake Ali hebu amka jamani unataka jua likupige la meno ndio ujue muda wa kazi umefika"

Jamani haifai! Mhurumie na umpeti mumeo kama unavyopeti mtoto mchanga. Kama mumeo ana uelewa mzuri wa ndoa utaona na yeye anakuamsha kwa mahaba kama unavyomuamsha.

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...