» » Arsenal yaibamiza Burnley mabao 2-1

Alexis Sanchez aliifungia Arsenal bao la piliAlexis Sanchez aliifungia Arsenal bao la pili dakika ya 98 kwa njia ya Penalti na kuiweza kuwashinda Burnley mabao 2-1 nyumbani mwa Arsenal huko Emirates.
Baada ya meneja wa Arsenal Arsene Wenger kutimuliwa uwanjani kwa kulalamikia uamuzi wa refa, kosa la Ben Mee la kumpiga kiatu Laurent Koscielny, lilisabaisha Burnley kuadhibiwa na Arsenal kupewa Penalti.
Arsenal walikuwa wameitawala mechi hadi pale Granit Xhaka alipotimuliwa baada ya kumchezea visivyo Steven Defour, hali iliyosababisha Burnley kunufaika.
Ushindi wa mara tano wa Arsenal katika uga wao wa Emirates, unawapandisha jedwali juu na Liverpool na Tottenham, ambao wote walipoteza pointi siku ya Jumamosi na kupunguza mwaya kati yao na Chelsea hadi pointi tano.

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...