» »Unlabelled » Ranieri: Mgogoro kati yangu na Mourinho umekwisha

Ranieri: Mgogoro kati yangu na Mourinho umekwisha


Mkufunzi wa Leicester Claudio Ranieri
Image captionMkufunzi wa Leicester Claudio Ranieri
Mkufunzi wa Leicester Claudio Ranieri anasema kuwa Jose Mourinho ni ''mtu mzuri'' na kwamba mgogoro wowote uliokuwepo kati yao umepitwa na wakati.
Mabingwa hao wa ligi ya Uingereza wanachuana na Klabu ya Manchester United siku ya Jumamosi huku wakufunzi hao wawili wakiwahi kuzozana hapo awali.
Mourinho alimuita Ranieri ''mtu anayeshindwa'' baada ya kumrithi kama mkufunzi katika klabu ya Chelsea na pia akamtusi alipokuwa mkufunzi wa Intermilan.
Mkufunzi wa Manchester United Claudio Ranieri
Image captionMkufunzi wa Manchester United Claudio Ranieri
Ranieri alisema: Mourinho ni mkufunzi mzuri ,mwerevu na mwenye kutumia akili .
Maswala yaliosababisha mzozano ni ya zamani.
" Mkufunzi huyo wa Manchester United alishinda mataji matatu na Inter Milan mwishoni mwa ukufunzi wake wa miaka mitatu 2010,huku Ranieri akiwa mkufunzi wa Juventus na Roma katika kipindi hicho hicho.
ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU WATARIFU NA WENZAKO PIA TUPIA MAONI YAKO

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles