» »Unlabelled » RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI WA JIJI LA MWANZA KATIKA UWANJA WA FURAHISHA NA KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA DARAJA LA WAENDA KWA MIGUU LA FURAHISHA JIJINI MWANZA AGOSTI 11,2016

RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI WA JIJI LA MWANZA KATIKA UWANJA WA FURAHISHA NA KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA DARAJA LA WAENDA KWA MIGUU LA FURAHISHA JIJINI MWANZA AGOSTI 11,2016

 unnamedRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mwanza na maeneo ya kanda ya ziwa katika mkutano wa hadhara katika uwanja wa Furahisha eneo la Kirumba jijini Mwanza Agosti 11,2016
unnamed-1

unnamed-2maelfu ya wananchi wa mkoa wa Mwanza  wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia  katika mkutano wa hadhara katika uwanja wa Furahisha eneo la Kirumba jijini Mwanza Agosti 11,2016 
7hdgdgd Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John pombe magufuli akikata utepe kuweka jiwe kama ishara ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja la waenda kwa miguu la furahisha jijini mwanza   wengine katika picha ni viongozi wa wizara ya Ujenzi na wa Mkoa wa Mwanza Agosti 11,2016
6 
5Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John pombe magufuli akifungua kitambaa kuweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja la waenda kwa miguu la furahisha jijini mwanza   wengine katika picha ni viongozi wa wizara ya Ujenzi na wa Mkoa wa Mwanza Agosti 11,2016
2

3

4Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Eng. Patrick Mfugale akitoa maelezo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhusu ujenzi wa daraja la waenda kwa miguu litakalojengwa furahisha mjini mwanza kabla ya Rais kuweka jiwe la msingi la  ujenzi wa Daraja hilo

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles