» »Unlabelled » VOICE OF CARNIVAL MWANZA. HII NI MPYA KABISA

VOICE  OF CARNIVAL MWANZA


  Nikikundi cha nyimbo za injiri kilichoko  Mwanza.
kiukweli wamejitoa kwa moyo wao wote kumtumikia Mungu, wanaimba vizuri sana kwakuwa ndio wameanza wanahitaji maombi yenu sana maana shetani hapendi kuona vijana wakiimba na kumtumikia Mungu

Kwasasa wana baadhi ya Audio ambazo ziko tayari na siku sio nyingi Video yao itakuwa tayari wanategemea kwenye mwezi wa 12 mwaka huu watakuwa hewani namimi nitawafatilia mpaka nihakikishe kitu kinakufikia hasa wewe mfuatiliaji wa habari za uimbaji.

vijana hawa wako tayari kwa huduma popote mtakapo waita watakuja maana ndio wito wao kama utawahitaji kwa huduma au kuwatia moyo nk wasiriana na Mwenyekiti wa kundi kwa no 0757562517
au Mkuu wa Mawasiriano 0764971385

Kunamtu anauliza kama kuna nafasi ya kujiunga na kikundi hicho mimi nakushauri kama ndio matamanio yako kuwa miongoni mwa waimbaji hawa wenye sauti zilizo inuliwa juuu wasiriana na Mwenyekiti
 



 BAADHI YA PICHA WAKIWA KWA HUDUMA

 WAKIWA ENEO LA MAZOEZI



Asante kwa kutembelea Blog yetu washirikishe na wenzako, Pia tunaomba maoni yako hapa au tupigie kwa (+255) 0769436440 Karibu Tena

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles