» »Unlabelled » Ufaransa yakamilisha uhamishaji wakimbizi Calais

Ufaransa yakamilisha uhamishaji wakimbizi Calais


watotoImage copyrightAP
Image captionwatoto wakiendesha baiskeli katika kambi hiyo
Serikali ya ufaransa inasema kuwa wamekamilisha uhamishaji wa maelfu ya wahamiaji katika kambi za Calais, maarufu kama jungle.
Uvunjwaji wa kambi hizo ulianza siku ya jumatatu huku wahamiaji wakisafirishwa kwa mabasi katika kambi mbalimbali za wakimbizi nchini humo.
Picha za televisheni zimeonesha moshi mweusi ukitokea kwenye mahema na duka ambayo huenda yamechomwa moto na wanaharakati wenye hasira au wahamiaji.
Lakini mbali na serikali ya nchi hiyo kusema kuwa kambi hiyo sasa haina watu, Dorothy Sang kutoka shirika la kutetea haki za watoto la save the children ameiambia BBC kuwa bado kuna wasiwasi juu ya idadi kubwa ya watoto wasio na wazazi ambao wanadhaniwa kuwepo bado katika kambi hiyo.
Asante kwa kutembelea Blog yetu washirikishe na wenzako, Pia tunaomba maoni yako hapa au tupigie kwa (+255) 0769436440 Karibu Tena

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles