» »Unlabelled » Shinikizo la kumuondoa Rais Maduro madarakani laendelea

Shinikizo la kumuondoa Rais Maduro madarakani laendelea


maduroImage copyrightEPA
Image captionLengo kuu la maandamano hayo ni kupinga kudorora kwa uchumi kulikochangiwa na Rais Maduro
Maandamano dhidi ya Rais wa Venezuela mwenye mrengo wa kijamaa Nicolas Maduro yamefanyika katika maeneo yote ya nchi hiyo, huku na baadhi waandamanaji kufanya vurugu.
Kuna taarifa kuwa vikosi vya usalama vimepambana na waandamanaji katika miji mbalimbali, huku watu kadhaa wakijeruhiwa na wengine kuwekwa kizuizini.
maandamano hayo ni ya wito wa kumtaka Rais Maduro ajiuzulu juu ya kushindwa kwake katika usimamizi wa Uchumi.
Muungano wa upinzani nchini humo umetoa masaa 12 ya maandamano ya pamoja siku ya ijumaa ili kuongeza shinikizo kwa Rais huyo kujiuzulu, ambapo wanamshutumu kwa ukiukwaji wa Demokrasia, na bunge la nchi hiyo linamshutumu kwa kutaka kupanga mapinduzi.
Asante kwa kutembelea Blog yetu washirikishe na wenzako, Pia tunaomba maoni yako hapa au tupigie kwa (+255) 0769436440 Karibu Tena

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles