» »Unlabelled » Mchakato wa uchaguzi ujao waimarika Somalia

Mchakato wa uchaguzi ujao waimarika Somalia

ko
Bunge la SomaliaImage copyrightAFP
Image captionBunge la Somalia
Somalia imeimarisha mchakato wa uchaguzi unaolenga kuwachagua wawakilishi wa bunge jipya la taifa hilo.
Jumla ya wajumbe 14,000 walioteuliwa watapiga kura kuwachagua wabunge 275 .
Umoja wa Mataifa una imani kwamba hatua hiyo ni muhimu kuelekea chaguzi zijazo za taifa hilo ambapo raia wa Somalia watashiriki shughuli hiyo moja kwa moja ifikapo mwaka 2020.
Taifa hilo lililozongwa na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kwa miongo kadhaa linatarajiwa kufanya uchaguzi wa Urais mwishoni mwa mwezi ujao wa Novemba.
Asante kwa kutembelea Blog yetu washirikishe na wenzako, Pia tunaomba maoni yako hapa au tupigie kwa (+255) 0769436440 Karibu Tena

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles