» »Unlabelled » Mashambulio yatekelezwa mjini Aleppo

Mashambulio yatekelezwa mjini Aleppo


Mashambulio yarejelewa Aleppo baada ya mpango wa kusitisha vita kwa muda
Image captionMashambulio yarejelewa Aleppo baada ya mpango wa kusitisha vita kwa muda
Mashambilizi makali ya angani yamerejelewa katika mji wa Aleppo baada ya muda wa siku tatu wa usitishwaji mapigano uliokuwa umetangazwa na Urusi kukamilika.
Mashambulio ya angani yameripotiwa katika maeneo kadhaa ikiwa ni pamoja na yale yanayokaribiana na maeneo ya Sheikh Saeed na Salah el-Deen.
Maeneo mengine yanayoshikiliwa na waasi pia yanalengwa katika mashambulio hayo japo haijabainika iwapo yanatekelezwa na ndege za Urusi au Syria.
Umoja wa Mataifa umesema haukufanikiwa kumuondoa mtu yeyote katika maeneo yanayothibitiwa na waasi ambayo yamezingirwa wakati wa kipindi cha usitishwaji mapigano kwa sababu maafisa wake hawakuhakikishiwa usalama wa kuendeleza shughuli hiyo.
Asante kwa kutembelea Blog yetu washirikishe na wenzako, Pia tunaomba maoni yako hapa au tupigie kwa (+255) 0769436440 Karibu Tena

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles