» »Unlabelled » KARIBU KWENYE KUBARIKI/KUWEKA WAKIFU DVD NO 2 IITWAYO, UTANIPA NGUVU.

Karibuni kwenye kubariki/kuwekwa wakifu Dvd no 2 iitwayo UTANIPA NGUVU(Leo mimi mwenye dhambi) ya kwaya ya waadventista wa sabato Igoma itakayofanyika jpili tr 30/10 kuanzia sa 7:30 mchana
Kwaya mbalimbali za jiji la mwanza zitakuwepo zikimtukuza Mungu:
Usipange kukosa mbaraka huu wa pekee njoo upate nakala yako ya DVD kwa wokovu wa roho yako!!!

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles